Kisesa Housing Project

“It is better and cheaper.”

Own your house today for cash or for a housing loan from a bank affiliates.
Watumishi Housing Company brings to public servants affordable housing in Kisesa Mwanza. Launching of this scheme shows the great vision we have for public servants to enable them own houses on premises with promising infrastructure. Buyers of these houses will live in accordance to (unit titles act 2008), designed to protect the interests of each buyer.

Kisesa Mwanza Residence is a housing project that is being implemented at Kisesa in Mwanza City about 20 km from the city center along the Musoma Road. Kisesa Mwanza Residence consists of houses of two categories i.e two bedroom houses and three bedroom houses.
Each two bedroom house has 61 sqm in total and 2 bedrooms (including one master bedroom),sitting room,kitchen,laundry,veranda and toilet, while three bedroom houses are of two categories depending on sizes (87 sqm and 115 sqm). Master bedrooms are also found in three bedroom houses.

Advantages of buying our houses in Kisesa:

 • Located only 20 km from the City center,
 • Closer to Schools,
 • Closer to Shops,
 • Availability of sports facilities for children.
House Prices for Kisesa Housing Project

 

 

22 thoughts on “Kisesa Housing Project

  1. Unaweza kupiga simu kwenye Office zetu zilizoko Dar es Salaam kwa maelezo Zaidi. Au pia unaweza kutembelea tovuti yetu http://www.whctz.org kwa maelezo Zaidi.

   Watumishi Housing Company
   4th Floor PSPF Golden Jubilee Towers
   Ohio Street/Garden Avenue
   P.O Box 5119
   Dar es Salaam
   Tanzania

   Tel +255 22 2922211
   Fax +255 22 2922221

  1. Ndio kwasasa nyumba hizi ni kwa ajili ya Watumishi wa Umma tu hadi hapo baadaye Serikali itakapoamua vinginevyo. Ili kununua nyumba hiyo lazima uwe unafanya kazi Serikalini, Taasisi ya Serikali au Shirika la Umma

    1. Njia zote zinatumika. Hata hivyo mikopo hiyo ni lazima iwe kupitia benki husika. Cha kuzingatia hapa ni kwamba ni lazima uwe Mtumishi wa Umma.

  2. Naitwa mwl. Mohamed….. samahani nataka kufahamu kwamba. Huwa mnakata asilimia ngapi YA mshahara na kwa miaka mingapi kwa nyumba yenye thamanu YA mil 88

  1. The prices of our houses depend on the following:

   – Size of houses (i.e. three bedroom house is more expensive than two bedroom house etc.)
   – Location of the project (Dar houses are expected to be more expensive than Mwanza houses of the same size)
   – House facilities.
   – Plot size.

   For more information you can visit our Offices in Dar es Salaam at the PSPF Golden Jubilee Towers, Fourth Floor.

   Kind regards,

   Stephen

 1. 1.Nahitaji kujua taratibu za kuweza kununua hizo nyumba kutoka watumishi housing?
  2. Je kma nina kiwanja watumishi housing wanaeza kuja nijengea ?
  3.Na kama wanaweza ni taratibu gani zinafuatwa?

  1. SWALI: Nahitaji kujua taratibu za kuweza kununua hizo nyumba kutoka watumishi housing?

   JIBU
   Ili kuweza kununua nyumba za Watumishi Housing unapaswa kuwa Mtumishi wa Umma. Hii ina maana kwamba lazima uwe unafanya kazi katika moja ya Taasisi za Serikali ikiwemo Wizarani, Mashirika ya Umma au Wakala wa Serikali.

   SWALI: Je kma nina kiwanja watumishi housing wanaeza kuja nijengea ?

   JIBU: Utaratibu huu kwa sasa haupo. Hata hivyo suala hili bado linafanyiwa kazi na uamuzi utatolewa baadaye.

 2. Mimi si mtumishi wa Umma ila nafanya kazi na shirika lisilo la lisekikali nje ya nchi. Je naweza kununua nyumba cash kwa kutumia dhamana ya kazi yangu bila mkopo toka bank au dhamana ya kazi ya utumishi wa umma? kwa maana nyingine, ni kwamba shirika ninalofanyia kazi lina utaratibu wa kutoa mikopo kwa watumishi wake na hiyo naweza kupata pesa cash za kununua nyumba. je nikilipa pesa cash naweza kuuziwa nyumba na WHC au lazima niwe mtumishi wa umma au taasisi ya serikali?

  1. Namna ya kuingia mkataba wa kununua nyumba za Kisesa mwanza na makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa nyumba ya Tshs 88,000,000, na ni kwa muda gani?

 3. niliona sehemu kuwa WHC mna mpango wa kujenga satellite town hapo kisesa, sijui hili lina ukweli wowote? naomba ufafanuzi mkuu

 4. NAOMBA KUULIZA, BEI ZENU ZA NYUMBA ZINA RIBA AMA HAZINA RIBA.

  MAANA NILIKWENDA TAASISI MOJA (JINA NIMEHIFADHI) BEI YA NYUMBA UNAAMBIWA KIDOGO MFANO TSH. 75,000,000/- NDO BEI. KISHA UNAAMBIWA UNAWEZA KULIPWA KWA MIAKA HADI ISHIRINI. LAKINI UKIPIGA HESABU YA HAYO MALIPO YA KILA MWEZI KISHA UZIDISHE KWA KWA MWAKA KISHA TENA KWA MIAKA ISHIRINI NIKAKUTA NYUMBA HIYO GHARAMA YAKE NI 220,000,000/= NIKAWAAMBIA KWA MCHEZO HUO SIWEZI. ILIKUWA KILA MWEZI UNATAKIWA ULIPE TSH.800,000 X 12 MOTHS X 23 YEARS = TSH. 220,800,000/=

  NA HAPA NAONA IKIFIKA KWENYE BEI HAMTAJI WALA KUTOA UFAFANUZI NA NDIO NICHOKIKUTA KULE UKIWAULIZA BEI UNAAMBIWA NYUMBA VYUMBA 3 NI GHARI SANA KULIKO VYUMBA VIWILI.

  MIMI NAOMBA NIAMBIWE BEI YA NYUMBA YA VYUMBA VITATU NITAKAYOTAKIWA KULIPA KWA MIAKA 10, NAOMBA KUJUA KWA MWEZI NITALIPA KIASI GANI ( malipo kwa mwezi x kwa mwaka x kwa miaka 10) HADI KUMALIZA DENI NA NYUMBA IWE YANGU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *